See result firstly, then believe product
When I visit new agro-dealers who have never purchased our products before, most of them do not trust us and are unsure about the product quality. However, this obstacle is easy to overcome. By conducting a trial in front of their shop, customers can observe how many days it takes for the weeds to die, how long the control lasts, and the overall product quality.
Ona matokeo kwanza,ndipo uamini katika bidhaa
Nilipotembelea wauzaji wapya wa pembejeo za kilimo ambao hawajawahi kuuza wala kununua bidhaa zetu,wengi wao hawakuwa na Imani na sisi na pia hawakuwa na uelewa kuhusu ubora wa bidhaa zetu.ili kuepukana na changamoto hii, Fanya majaribio ya bidhaa mbele ya duka husika ili muuzaji Pamoja na wateja waweze kuona itachukua muda gani magugu kukauka,na kwamuda gani bidhaa zetu zinaweza dhibiti magugu na ubora wa bidhaa husika

-
Previous article:Famers meeting is basis of marketing
-
Next article:Release of New Products


