Famers meeting is basis of marketing
We hosted diverse farmers meeting in the last quarter 2025, there are many functions for meeting. The farmers can learn the knowledge about agrochemical products, so that use them through right dosage and stage, get more income. The clients can move products fast and get belief from farmers, of course, get much benefit. Kesai Eagrow also penetrate eargow tradename to Tanzania market, so we will persistent to do this work well.
Vikao na wakulima ni nguzo muhimu katika masoko,
tumefanya vikao mbali mbali na wakulima katika robo ya mwisho ya mwaka 2025.wakulima wameweza Jifunza ujuzi kuhusu viuatilifu,na hivyo wanaweza tumia bidhaa hizi kwa usahihi na muda sahihi ili kuongeza uzalishaji(kipato),wauzaji wanaweza uza bidhaa zetu kwa haraka na kupata mrejesho kutoka kwa wakulima na Hata hivyo hupata faida kubwa.Kesai Eagrow pia imeitangaza chapa ya EAGROW katika soko la Tanzania,na tutaendelea kuifanya kazi hii kwa ubora zaidi



-
Previous article:请自行修改
-
Next article:See result firstly, then believe product

